Tuesday, 23 February 2010
UPOKEZI WA VIFAA
Uongozi wa PPC wafurahia upokezi wa vifaa vipya vya Ofisi vilivyofadhiliwa na mradi wa UNESCO cilivyogharimu shilingi milioni thalathini za Tanzania.
Friday, 12 February 2010
SHUKURANI ZA DHATI
Nimefurahia sana mafunzo ya siku tano kwani nimejifunza vitu vingi juu ya kutengeneza blog na pia natoa shukurani za dhati kwa wakufunzi wetu wamejitahidi kutumia nji rahisi ya kutuwezesha sisi kufahamu zaidi kwa kile ambacho walitukusudia.
pia tunaomba kama kuna uwezekano basi mutuandalie tena mafunzo haya ili tuweze kujifunza zaidi.
TUNAWASHUKURU SANA.
pia tunaomba kama kuna uwezekano basi mutuandalie tena mafunzo haya ili tuweze kujifunza zaidi.
TUNAWASHUKURU SANA.
JERRY MURO KIZIMBANI
hii ni picha ya jerry muro
Mwandishi bora wa mwaka 2009 amefikishwa mahakani kwa kosa la kuomba ruswa ya sh 10/milioni.
Ameyathibitisha hayo kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar-es salam Suleiman Kova.
Ameeleleza kuwa ni kweli kabisa mwandishi huyo Nd,Jerry Muro amekamwatwa na yuko polisi kwa mahojiano zaidi.
Amesema pia mshtakiwa huyo amekamatwa kwa kosa la kutaka rushwa kwa mfanya biashara mmoja sh/10 millioni za kiatanzania.
Mwandishi huyo wa habari hivi sasa ameshafikishwa mahakamani kwa kujibu tuhuma za mahtaka.
Thursday, 11 February 2010
VITA VYA YEMEN
Watu wapatao 180,000 wamefariki dunia kupitia vita vya Irq na Iran huko nchini Yemen .
vita hivyo vilichangiwa na viongozi ambao ni Al-Majid Chemical Ali na Sadam Husein mnamo tarehe 25 January 2010.
Vita hivyo vilipigwana baada ya kuonekana watu wa nchi ya Amerika na Uingereza kufungua ubalozi wao katika nci ya Yemen.
kuona hivyo makundi ya Alqaida na Sadam Husein waliamua kuanzisha vita na kupotaza maisha ya walio wengi.

BELT MOVEMENT
The Green Belt Movement has two division. The Green Belt Movement Kenya and Green Belt Movement International.
Green Belt Movement Kenye is a non Government organization (NGO).It based in Kenya for read general overview of its work .It deals about survey,report and its staff expert.
Mission of Green Belt Movement are deals mobilize community counsciousness for self determinition,improved and envernment conservation.
Wednesday, 10 February 2010
Tuesday, 9 February 2010
changamoto kwa wandishi
Ni matarajio yangu kwa mafunzo haya ya internet kwa mud wa siku tano itakuwa ni changamoto kwetu wandishi wa habari kuweza kufanya kazi vizuzi bila usumbufu wa aina yoyote.
changamoto kwa wandishi
Ni matarajio yangu kwa mafunzo haya ya internet kwa mud wa siku tano itakuwa ni changamoto kwetu wandishi wa habari kuweza kufanya kazi vizuzi bila usumbufu wa aina yoyote.
Monday, 8 February 2010
Wanafuzi wa kitdato cha nne wamefaniiwa kwa asilimia kubwa kulingana na mara zilizopita hii ni dalili tosha kwamba mwaka huu walimu wamejitahi sana katika kazi yao . Na pia wanafunzi wenyewe nao wamepitisha jitihada kubwa ilikuonyesha ubora wao juu masomo .Hivyo wanafunzi hao pamoja na walimu wao wnastahiki kupewa pongezi juu ya jitihada zao hizo.

Subscribe to:
Posts (Atom)