Friday, 12 February 2010

SHUKURANI ZA DHATI

Nimefurahia sana mafunzo ya siku tano kwani nimejifunza vitu vingi juu ya kutengeneza blog na pia natoa shukurani za dhati kwa wakufunzi wetu wamejitahidi kutumia nji rahisi ya kutuwezesha sisi kufahamu zaidi kwa kile ambacho walitukusudia.
pia tunaomba kama kuna uwezekano basi mutuandalie tena mafunzo haya ili tuweze kujifunza zaidi.
TUNAWASHUKURU SANA.

No comments:

Post a Comment