Friday 12 February 2010

JERRY MURO KIZIMBANI






hii ni picha ya jerry muro








Mwandishi bora wa mwaka 2009 amefikishwa mahakani kwa kosa la kuomba ruswa ya sh 10/milioni.
Ameyathibitisha hayo kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar-es salam Suleiman Kova.
Ameeleleza kuwa ni kweli kabisa mwandishi huyo Nd,Jerry Muro amekamwatwa na yuko polisi kwa mahojiano zaidi.
Amesema pia mshtakiwa huyo amekamatwa kwa kosa la kutaka rushwa kwa mfanya biashara mmoja sh/10 millioni za kiatanzania.
Mwandishi huyo wa habari hivi sasa ameshafikishwa mahakamani kwa kujibu tuhuma za mahtaka.

No comments:

Post a Comment