Monday 8 February 2010

Wanafuzi wa kitdato cha nne wamefaniiwa kwa asilimia kubwa kulingana na mara zilizopita hii ni dalili tosha kwamba mwaka huu walimu wamejitahi sana katika kazi yao . Na pia wanafunzi wenyewe nao wamepitisha jitihada kubwa ilikuonyesha ubora wao juu masomo .Hivyo wanafunzi hao pamoja na walimu wao wnastahiki kupewa pongezi juu ya jitihada zao hizo.

No comments:

Post a Comment